UNAHITAJI FURSA?
17 Nov 2026
Video
Chimbo platform inakukutanisha wewe na fursa mbalimbali zinazopatikana katika secta ya madini,wataalamu waliobobe katika maswal mazima ya uchimbaji...
UONGOZI BORA HAUISHII OFISINI
17 Nov 2026
Video
Kiongozi wa kazi, katikati ya shughuli!
Uongozi bora hauishii ofisini, unaonekana pia site! Kutoka kwenye mipango hadi utekelezaji, Site Manager ...
CHIMBO PLATFORM — JUKWAA LA FURSA KATIKA SEKTA YA MADINI!
27 Oct 2026
Unatafuta vifaa vya migodini, huduma za kitaalamu, wataalamu wenye uzoefu au fursa za uwekezaji katika sekta ya madini?
CHIMBO PLATFORM inakuun...
TMIC 2026 KUFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI WA MADINI TANZANIA
27 Oct 2026
Nchi zaidi ya 38 na Mawaziri zaidi ya 30 wanatarajiwa kushiriki mkutano huo
Utafiti wa madini, uongezaji thamani na uwekezaji kupewa kipaumbele
...
CHIMBO PLATFORM — MADINI NI FURSA, CHIMBO NI DARAJA LA KUUNGANISHA FURSA
Kutoka kwenye miradi ya madini hadi uwekezaji, huduma na biashara, CHIM...
ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MADINI INAENDELEA!
20 Oct 2026
SOMO LA 4: ANDIKENI MAKUBALIANO YA WAZI
Kabla ya kuwekeza kwenye mradi wa uchimbaji madini, hakikisha makubaliano yanaeleza majukumu ya kila msh...
BIDHAA ZA MIGODINI ZAANZA KUZALISHWA NCHINI TANZANIA
18 Oct 2026
Waziri Mavunde azindua kiwanda cha Wire Mesh cha Geofields Tanzania Limited
Aaeleza dhamira ya Serikali ya kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uza...
ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MADINI — SEHEMU YA 3
18 Oct 2026
FAHAMU GHARAMA ZOTE ZA MRADI!
Kabla ya kuwekeza, zingatia gharama za vifaa, wafanyakazi, maabara, vibali, miundombinu na uendeshaji. Andaa bajet...
ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MADINI INAENDELEA
17 Oct 2026
SOMO LA LEO: HAKIKISHA UHALALI WA LESENI
Kabla ya kuwekeza kwenye mradi wa madini, hakikisha:
? Aina ya leseni ni sahihi na halali.
? Mmilik...
SERIKALI KUANZA UTAFITI WA MADINI ENEO KUBWA LA NCHI KWA KUTUMIA FEDHA ZA NDANI*
16 Oct 2026
Ni kupitia mfuko wa utafiti wa Madini
Rais Samia apongezwa kwa dhamira ya kukuza sekta ya madini
Asilimia 10 ya mapato ya makusanyo ya maduhu...
CHIMBO PLATFORM: ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MADINI
16 Oct 2026
Kabla ya kuwekeza kwenye mradi wa madini, ni muhimu kuwa na taarifa sahihi na kufanya uchunguzi wa kina.
Kuanzia leo, CHIMBO Platform inakuletea...
CHIMBO PLATFORM TWAPOKEA TUZO YA MSHINDI WA PILI!
03 Oct 2026
Tunayo furaha kubwa kutangaza kwamba CHIMBO Platform imepokea Tuzo ya Mshindi wa Pili katika **Maonesho ya Teknolojia ya Madini Geita**!
Tunamshuk...
CHIMBO PLATFORM YANG'ARA GEITA!
03 Oct 2026
Katika safari yetu ya maonesho, pia tumepata heshima ya kutembelewa na viongozi kutoka Tume ya Madini, ambao walipata fursa ya kufahamu zaidi kuhus...
SEMINA YA USHAURI WA KIFEDHA – MAONESHO YA 9 YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA
29 Sep 2026
Katika Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini Geita, wadau mbalimbali wa sekta ya fedha wapata nafasi ya kushiriki katika semina maalum ya ushauri w...
WADAU MBALIMBALI WA SEKTA YA MADINI WATEMBELEA BANDA LA CHIMBO
29 Sep 2026
katika Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini Geita, banda la CHIMBO PLATFORM limeendelea kupokea na kuwakaribisha wadau mbalimbali kutoka katika se...
TUME YA MADINI YAFUNGUA DIRISHA LA FURSA KWA WAWEKEZAJI NA WANANCHI
27 Sep 2026
**GEITA**
Wadau wa madini, wawekezaji na wananchi kwa ujumla wamealikwa kutembelea banda la Tume ya Madini katika Maonesho ya Kitaifa ya Tisa ya T...
WAZIRI WA MADINI AZINDUA RASMI MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA MADINI NOVEMBA 2026
18 Sep 2026
Ni Mkutano mkubwa wa Madini na Uwekezaji
Washiriki 2000 kutoka mataifa 50 Duniani kushiriki
Kauli Mbiu ya Mkutano inalenga kuongeza thamani m...
UKAGUZI WA MIGODI WAIMARISHA USALAMA, UHIFADHI WA MAZINGIRA
12 Sep 2026
Tume ya Madini yasisitiza uchimbaji unaozingatia sheria, afya na maendeleo endelevu
?Dodoma
Tume ya Madini imeendelea kuimarisha ukaguzi wa m...
KISARAWE YAJA NA SULUHU MAHITAJI YA BARUTI, VILIPUZI NCHINI
12 Sep 2026
?Kiwanda Kikubwa Afrika Mashariki Kuanza Uzalishaji Septemba,2026
?Dkt. Kiruswa Aahidi Serikali Kushughulikia Changamoto za Wawekezaji
?DC Ma...
TANZANIA NA UINGEREZA WAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MADINI
11 Sep 2026
Leo jijini Dodoma, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Marianne Young, amekutana na Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde, kwa ajili ya kujadi...